Robin Williams

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Robin Williams
Robin williams uso.jpg
Robin Williams
Amezaliwa Robin McLaurin Williams
21 Julai 1951 (1951-07-21) (umri 63)
Chicago, Illinois, US
Ndoa Valerie Velardi (1978-1988) (mtoto 1)
Marsha Garces Williams (1989-mpaka sasa) (watoto 2)

Robin Williams (amezaliwa tar. 21 Julai 1951) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Amenza kuwa maarufu kwa mara yake ya kwanza kwenye kipindi cha televisheni cha Mork and Mindy. Tangu hapo, akaanza kuonekana kwenye mafilamu kibao kama vile:

 • Popeye (1980)
 • Good Morning, Vietnam (1987)
 • Hook (1991)
 • Aladdin (1992)
 • Toys (1992)
 • Mrs. Doubtfire (1993)
 • Jumanji (1995)
 • Flubber (1997)
 • Good Will Hunting (1997)
 • Patch Adams (1998)
 • The Bicentennial Man (1999)
 • Death to Smoochy (2000)
 • One-Hour Photo (2002)
 • Robots (2005)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.