Frida Kahlo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Image:Frida Kahlo (self portrait).jpg
Frida Kahlo alivyojichora mwenyewe
Magdalena Carmen Frida Kahlo y Calderón (6 Julai 1907 – 13 Julai 1954) alikuwa mchoraji nchini Mexiko. Amejulikana kwa picha zake zinazotumia rangi zenye nguvu na maumbo ya sanaa ya kienyeji ya Mexiko.
Frieda alizaliawa kama binti wa Mjerumani aliyehamia Mexiko na mama mwenye asili ya Kiindio. Alipokuwa na miaka 18 alipatiwa na ajali nzito kwenye basi akeendelea kuishi kwa maumivu ya kila siku hakuweza kuzaa watoto. Aliolewa na mchoraji Diego Riviera alifanya kazi pamoja naye hata kama huyu hakuwa mwaninifu kwake mara kwa mara.
Picha nyingi zinaonyesha maumivu yake wyeye mwenyewe na hali gumu ya wakinamama. Nyumba alimoishi kati ya 1929-1954 imekuwa makumbusho yake.
[hariri] Picha
|
House of Diego Rivera and Frida Kahlo (San Ángel, Mexico City) |
|||

