Unga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Unga ni nafaka kavu iliyopondwa au kusagwa hadi kuwa kama vumbi. Ladha ya unga hutegemea na nafaka yake. Rangi ya unga ni tofauti kama nafaka imekombolewa kwanza au nafaka yote imesagwa pamoja na sehemu za ganda.
Unga wa nafaka hutumiwa kwa vyakula vingi.
ni mifano ya vyakula vinavyotengenezwa kwa kutumia unga wa nafaka.
Kuna pia unga wa mazao mengine kwa mfano unga wa viazi au unga wa mchele. Kwa kawaida neno "unga" peke yake humaanisha hasa unga wa mahindi na unga wa ngano.
| Makala hiyo kuhusu "Unga" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Unga kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |