Allah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Allah ni neno la Kiarabu linalorejea Mungu.

Hasa linatumika katika dini ya Uislamu, lakini pia Wakristo Waarabu na wa nchi nyingine (kama vile Malaysia) wanamwita Mungu "Allah".

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allah kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.