Pierre Curie

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Pierre Curie pamoja na Marie katika maabara

Pierre Curie (* 15 Mei 1859 Paris/Ufaransa - + 19 Aprili 1906) alikuwa mwanafizikia Mfaransa aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Fizikia wa mwaka 1903 pamoja na mke wake Marie Curie na Henri Becquerel.

Alichunguza misingi ya sumakuumeme. Pamoja na mke wake aligundua elementi za poloni na radi. Maelezo yao yaliunda misingi wa kuelewa unururifu wa kinyuklia.



[hariri] Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pierre Curie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.