Bahamas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Comonwealth of the Bahamas
Jumuiya ya Bahamas
Bendera ya Bahamas [[Picha:|110px|Nembo ya Bahamas]]
Bendera Nembo
Wito la taifa: Forward Upward Onward Together
Wimbo wa taifa: March On, Bahamaland
Wimbo wa Kifalme: God Save the Queen
Lokeshen ya Bahamas
Mji mkuu Nassau
25°4′ N 77°20′ W
Mji mkubwa nchini Nassau
Lugha rasmi Kiingerza
Serikali Commonwealth
Elizabeth II wa Uingereza
Arthur Dion Hanna
Perry Christie
Independence
kutoka Uingereza

10 Julai 1973
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
13,878 km² (ya 160)
28%
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 1990 sensa
 - Msongamano wa watu
 
323,0001 (ya 177)
254,685
23.27/km² (ya 181)
Fedha Bahamas dollar (BSD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
EST (UTC−5)
EDT (UTC−4)
Intaneti TLD .bs
Kodi ya simu +1-242

-


Ramani ya Bahamas

Bahamas ni nchi ya visiwani katika Atlantiki kaskazini ya Kuba na mashariki ya Florida (Marekani). Visiwa viko nje ya Bahari ya Karibi lakini mara nyingi huhesabiwa kati ya Visiwa vya Karibi.

Mji mkuu wa Nassau uko kwenye kisiwa cha New Providence.

Inaaminiwa ya kwamba mahali pa kwanza pa Amerika alipofika Kristoforo Kolumbus kilikuwa kisiwa kimoja cha Bahamas labda San Salvador.

Wakazi walio wengi ni wa asili ya Kiafrika wanaotumia lugha ya Kiingereza.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Caribe-geográfico.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahamas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.