Koala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Koala
Koala Phascolarctos cinereus
Koala Phascolarctos cinereus
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Nusungeli: Marsupialia (Wanyama wanaobeba watoto wako ndani ya pochi ya ngozi)
Oda: Diprotodontia (Wanyama wenye meno makubwa mawili mbele kwa mdomo)
Nusuoda: Vombatiformes (Wanyama kama wombati)
Familia: Phascolarctidae (Wanyama walio na mnasaba na koala)
Jenasi: Phascolarctos
Blainville, 1816
Spishi: P. cinereus
(Goldfuss, 1817)

Koala (kutoka Kiing.: koala, Kisayansi: Phascolarctos cinereus) ni mnyama mdogo wa Australia mwenye manyoya ya kijivu na anaofanana na dubu. Kama kangaruu na marsupialia wengine, koala wa jike huwa na pochi (ambayo inaitwa marsupiumu) ambamo mtoto humalizia kukua akiwa humo ndani.

Makala hii kuhusu "Koala" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili koala kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni koala.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.