William wa Ockham

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William wa Ockham

William wa Ockham (takriban 1285 – 9 Aprili 1349 au 1350) alikuwa mwanateolojia na mwanafalsafa kutoka nchi ya Uingereza. Alikuwa mmojawapo wa waanzishaji wa mantiki ya kisasa. Pia alimkosoa Papa.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William wa Ockham kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.