Zama za Chuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Moja ya vifaa vya chuma

Zama za Chuma kilikuwa kipindi katika historia baada ya watu kuanza kutumia vifaa vya chuma. Kabla ya hii, walikuwa wakitumia vifaa vya shaba au mawe. Sehemu nyingi za Ulaya, Afrika na Asia walifikiwa na Zama hizi za Chuma kunako mwaka wa 500 KK. Kwa upande Ulaya, ni kipindi cha kabla ya historia, kwa sababu watu wa Zama za Chuma hawakuwa wakiandika historia zao.

Chuma ni rahisi kukipata, lakini ni vigumu sana kuitengenezea vifaa. Hii inayeyuka kwa hali joto ya juu kuliko shaba. Watu waliojifunza namna ya kutengeneza vifaa kwa kutumia chuma walikuwa na uwezo wa kufanya vitu vingi sana kwa vyuma hivyo. Hii inamaanisha kwamba tabia za watu hubadilika. Kwa mfano, watu wengi wana uwezo zaidi wa kumiliki jembe la chuma. Wameweza kulima mshamba yao vizuri na mazao kukua vyema kabisa. Kuna baadhi ya watu wamegundua sarafu ili kusaidia kununua na kuuza mazao yao na vifaa vyao vya chuma.


Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zama za Chuma kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.