St. Louis, Missouri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jiji la St. Louis
Skyline ya Jiji la St. Louis
Jiji la St. Louis is located in USA
Jiji la St. Louis
Jiji la St. Louis
Mahali pa mji wa St. Louis katika Marekani
Coordinates: 38°37′40″N 90°14′34″W / Expression error: Unexpected < operator Expression error: Unexpected < operator / Expression error: Unexpected < operator; Expression error: Unexpected < operator
Nchi Marekani
Jimbo Missouri
Kitongoji Independent City
Idadi ya wakazi
 - Mji 355,663
Website: stlouis.missouri.org/
Flag of St. Louis, Missouri.svg

St. Louis ni mji wa Marekani katika jimbo la Missouri. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 2.8 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 142 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Flag USA template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu St. Louis, Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.