Wikipedia:Makala za msingi za kamusi elezo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kuna Kamusi Elezo za Wiki za lugha mbalimbali. Baadhi ni kubwa na nyingine bado ni ndogo ziko mbioni kuendelezwa. Kamusi elezo zote zinahitaji makala fulani za msingi.

Kwenye kurasa za meta.wikipedia.org kuna majadiliano mfululizo hizi makala za kimsingi ni zipi. Tokeo la majadiliano ni orodha ya Kiingereza ya makala ya msingi kutoka meta:wikipedia inayoendelea kuhaririwa.

Hapo chini ni mada katika wikipedia ya Kiingereza (ambayo ni wikipedia kubwa zaidi na hivyo msingi kwa kazi hii) ambazo hazikuonekana katika wikipedia ya Kiswahili kwa "macho" za roboti zinazolinganisha wikipedia za lugha mbalimbali. Chanzo chake ni Makala zisizoonekana kati ya 1000 za msingi - Absent_Articles#sw_Kiswahili.

Kila mwanawikipedia anaombwa kuanzisha makala kwa Kiswahili au kuitafsiri. Kubofya jina nyekundu upande wa kulia itaanzisha makala mpya kwa Kiswahili. Kama ni makla ya jina unaweza kuanza mara moja. Kama ni bado jina la Kiingereza uitafsiri kwanza kabla ya kuanza.

Tahadhari: wakati mwingine roboti zinazolinganisha wikipedia mbalimbali zinaweza kukosa. kwa mfano hawakutambua makala ya "Brussels" katika wikipedoa yetu na kuiandika katika orodha hii - lakini makala iko. Yeyote anayetambua kosa la aina hii anaweza kuisahihisha kwa kuingiza kwa mkono makala husika ya wikipedia ya Kiswahili.


Orodha ya mada ambazo zinakosekana kwa Kiswahili kulingana na orodha ya makala 1000 ya kimsingi

(hali ya Machi 2015) - upande wa kushoto (buluu) unaonyesha makala za Kiingereza, upande wa kulia (nyekundu) ni viungo kwa wikipedia ya Kiswahili ambako makala hizo haziko bado (isipokuwa zile zilizoandikwa tangu kutunga orodha hii)

OMBI: Tusiweke makala ya elekezo (redirect) kama tafsiri kwa maneno ya Kiingereza upande wa kulia! Maana kwa njia hii tunaweza kujidanganya kuwa makala iko tayari (kiungo kuwa buluu) ilhali hakuna makala bado!

 1. acceleration * sw: mchapuko
 2. addiction * sw: addiction
 3. algorithm * sw: algorithm
 4. animation * sw: animation
 5. artificial intelligence * sw: akili bandia
 6. backgammon * sw: backgammon
 7. baseball * sw: baseball
 8. breathing * sw: upumuo
 9. Capacitor * sw: kapasita
 10. circulatory system * sw: mfumo wa mzunguko wa damu
 11. classical mechanics * sw: classical mechanics
 12. complex number * sw: namba changamano
 13. conservation of energy * sw: kanuni ya hifadhi ya nishati
 14. dialectic * sw: upembuzi
 15. differential equation * sw: mlinganyo tenguo
 16. diode * sw: diodi
 17. domestication * sw: domestication
 18. Dream of the Red Chamber * sw: Dream of the Red Chamber
 19. electronic music * sw: electronic music
 20. endangered species * sw: spishi adimu
 21. endocrine system * sw: mfumo wa tezi
 22. equation * sw: mlinganyo
 23. fashion * sw: fasheni
 24. feminism * sw: harakati ya ukombozi wa wanawake
 25. flamenco * sw: flamenco
 26. frequency * sw: marudio
 27. function * sw: function
 28. gambling * sw: gambling
 29. game * sw: mchezo
 30. general relativity * sw: general relativity
 31. Gupta Empire * sw: Dola la Gupta
 32. handicap * sw: kilema
 33. headache * sw: maumivu ya kichwa
 34. heart attack * sw: heart attack
 35. immune system * sw: immune system
 36. inductor * sw: inductor
 37. infinity * sw: infinity
 38. information * sw: taarifa
 39. inorganic chemistry * sw: inorganic chemistry
 40. large intestine * sw: utumbo mpana
 41. liberalism * sw: liberalism
 42. life * sw: uhai
 43. linear algebra * sw: linear algebra
 44. lipid * sw: lipid
 45. literacy * sw: literacy
 46. logarithm * sw: logi
 47. machine * sw: mashine
 48. martial arts * sw: martial arts
 49. mathematical analysis * sw: mathematical analysis
 50. mathematical proof * sw: mathematical proof
 51. Meiji Restoration * sw: Meiji Restoration
 52. menstruation * sw: Hedhi
 53. mental disorder * sw: Ugonjwa wa akili
 54. metabolism * sw: umetaboli
 55. Mind * sw: Mind
 56. Mollusca * sw: Mollusca
 57. nanotechnology * sw: nanotechnology
 58. natural disaster * sw: natural disaster
 59. nervous system * sw: mfumo wa neva
 60. nuclear fission * sw: nuclear fission
 61. number theory * sw: number theory
 62. numerical analysis * sw: numerical analysis
 63. operating system * sw: operating system
 64. organic chemistry * sw: organic chemistry
 65. pandemic * sw: pandemic
 66. pharmaceutical drug * sw: dawa za famasia
 67. photography * sw: photography
 68. physical chemistry * sw: physical chemistry
 69. poliomyelitis * sw: poliomyelitis
 70. polytheism * sw: polytheism
 71. primates * sw: primates
 72. programming language * sw: programming language
 73. quantum mechanics * sw: quantum mechanics
 74. reproduction * sw: uzazi
 75. reproductive system * sw: mfumo wa uzaai
 76. resistor * sw: resistor
 77. respiratory system * sw: mfumo wa upumuaji
 78. robot * sw: robot
 79. semiconductor * sw: semiconductor
 80. set theory * sw: set theory
 81. socialism * sw: socialism
 82. software * sw: software
 83. soul * sw: soul
 84. special relativity * sw: special relativity
 85. statistics * sw: statistics
 86. strong interaction * sw: strong interaction
 87. symmetry * sw: symmetry
 88. tennis * sw: tennis
 89. theater * sw: theater
 90. thermodynamics * sw: thermodynamics
 91. toy * sw: toy
 92. transformer * sw: transforma
 93. transistor * sw: transista
 94. trigonometry * sw: trigonometry
 95. velocity * sw: velocity
 96. weak interaction * sw: weak interaction
 97. World Wide Web * sw: World Wide Web
 98. Yoga * sw: Yoga