Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/List Category Tanzanian people en

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Watu wa Tanzania - kutoka en:Category:Tanzanian people

Kama jina ni buluu, makala yake iko kwenye swwiki. Nyekundu bado. Tunaweza kutafsiri kutoka enwiki - majina yote yamenakiliwa pale, makala ziko kwa Kiingereza. Majina katika orodha hii yanaweza kupatikana zaidi ya mara 1, maana nimenakili kutoka orodha tofauti. Tafadhali uhakikishe, kama mhusika yuko kwa jina lenye umbo tofauti kidogo. Mfano: Ali Mwinyi au Ali Hassan Mwinyi! Ukibofya hapa, utapata ukurasa tupu wa kuanzisha makala. Unahitaji kutafuta jina hili pia katika enwiki.

en:Category:People of Tanzania

Majina yafuatayo yana makala katika enwiki; kama rangi ni ynekundu hakuna makala kwa Kiswahili. Tahadhari: Inawezekana kwamba makala ipo kama umbo la jina limeandikwa tofauti kati ya wikipeda hizo mbili! (Mfano: Ahmad Hassan Diria - Ahmad Diria - Ahmed Diria).

Unaweza kubofya jina jekundu, utapata dirisha la kuanzisha makala kwa jina hilo. Sasa fungua dirisha la pili kwenye swwiki, peleka jina la familia humu (mfano wetu: Diria) na angalia kama mhusika yuko tayari kwa umbo tofauti la jina kamili; kama hayuko, endelea. Bandika jina kenye dirisha mpya ya enwiki, fungua makala ya enwiki utafsir. Chagua kwanza kama unataka kutafsiri yote au kama unapendelea kufupisha habari. Kama habari za enwiki ni za azmani kidogo, unaweza kutafuta habari mpya zzaidi kupitia google na kuongeza.

Tanzanian people stubs + Women of Tanzania

Watu kufuatana na kazi, na maeneo, wanariadha