Nurdin Bakari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nurdin Bakari
Maelezo binafsi
Jina kamili Nurdin Bakari
Tarehe ya kuzaliwa 6 Julai 1988
Mahala pa kuzaliwa    Arusha, Tanzania
Urefu 1.72 m
Nafasi anayochezea Kiungo
Timu ya taifa
Timu ya Taifa ya Tanzania

* Magoli alioshinda

Nurdin Bakari (alizaliwa mnamo 6 Julai, 1988) ni mwanasoka wa zamani wa nchini Tanzania, aliyeichezea Timu ya Taifa ya Tanzania. Alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha mwaka 2004, 2005, 2008, 2009, 2010 na 2011 katika mashindano ya kombe la CECAFA Cups.[1]

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mabao Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Alama na matokeo yanaorodhesha idadi ya mabao ya Tanzania kwanza.[1]
Na Tarehe Uwanja Mpinzani Mabao Matokeo Mashindano
1. 4 Decemba 2005 Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda Eritrea 1–0 1–0 CECAFA Cup, 2005
2. 30 Novemba 2010 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania Somalia 3–0 3–0 CECAFA Cup, 2010
3. 4 Decemba 2010 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania Burundi 1–0 2–0 CECAFA Cup, 2010
4. 2–0
5. 15 Novemba 2011 Uwanja wa Taifa, N'Djamena, Chad Chadi 2–1 2–1 Michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, 2014
6. 6 Decemba 2011 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania Malawi 1–0 1–0 CECAFA Cup, 2011

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Nurdin Bakari". National-Football-Teams.com. Iliwekwa mnamo 6 August 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nurdin Bakari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.