Harrison George Mwakyembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Harrison Mwakyembe)
Mwakyembe

Harrison George Mwakyembe (amezaliwa tar. 10 Desemba 1955) ni mbunge wa jimbo la Kyela katika bunge la kitaifa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Harrison George Mwakyembe". 16 Mei 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.