Reginald Mengi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Reginald Mengi

utaifa Tanzania
ndoa Jacqueline Ntuyabaliwe
watoto 5: Regina, Rodnay, Abdiel, Jayde and Ryan
taaluma mfanyabiashara

Reginald Abraham Mengi (Nkuu Sinde, Machame Mashariki, Mkoa wa Kilimanjaro, 29 Mei 1942 - Dubai, 2 Mei, 2019) alikuwa mfanyabiashara wa Tanzania aliyehesabiwa kati ya matajiri wakuu wa Afrika (dola za Marekani milioni 560)[1].

Alikuwa mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda vya Tanzania, IPP Gold Ltd., Media Owners Association of Tanzania, mmiliki wa IPP Ltd. Tanzania na mwenyekiti wa Handeni Gold, Inc.[2]

Aliandika kitabu I Can, I Must, I Will[3][4].

Heshima na tuzo[hariri | hariri chanzo]

Mengi alitunukiwa:[5]

 • 2000-2003 - Most Respected CEO East Africa Community (EAC)
 • 2008 - Martin Luther King Drum Major for Justice Award
 • 2010 - Global Leadership and Humanitarian Award
 • 2012 - United Nations NGO Lifetime Achievement Award
 • 2012 - The Business for Peace Award
 • 2012 - Honorary Doctor of Humanity Degree Award
 • 2014 - International Order of the Lions Award
 • 2014 - Business Leader of the Year Award

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. "Reginald Mengi", Forbes. (en) 
 2. MarketScreener. Reginald Mengi, PhD - Biography.
 3. Mengi, Reginald Abraham (2018-07-01). I Can, I Must, I Will: The Spirit of Success, 1st (in English), IPP Limited. 
 4. Nsehe, Mfonobong. "Tanzanian Multi-Millionaire Tycoon Reginald Mengi Launches Autobiography", Forbes. (en) 
 5. "Biography", The official site for Dr. Reginald Abraham Mengi, 2018-05-30. (en-US) 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reginald Mengi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.