Mary Nagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Nagu

Mary Nagu (amezaliwa tar. 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Mary Nagu (3 Juni 2008). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.