Nenda kwa yaliyomo

Salum Abubakar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salum Abubakar
Maelezo binafsi
Jina kamili Salum Abubakar Salum
Tarehe ya kuzaliwa 26 Agosti 1992
Mahala pa kuzaliwa    Tandahimba, Mtwara, Tanzania
Urefu 1.65 m
Nafasi anayochezea Kiungo

* Magoli alioshinda

Salum Abubakar alizaliwa mnamo (26 Agosti, 1992), ni mchezaji wa soka nchini Tanzania ambaye anacheza kama kiungo. Kwa sasa anacheza katika klabu ya Young Africans S.C.

Ushiriki Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Magoli Kimataifa

[hariri | hariri chanzo]
Alama na matokeo yanaorodhesha idadi ya mabao ya Tanzania kwanza.[1]
Na. Tarehe Uwanja Mpinzani Mabao Matokeo Mashindano
1. 15 Novemba 2019 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania  Guinea ya Ikweta 2–1 2–1 Mashindano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2021, Kundi J
  1. Salum Abubakar at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salum Abubakar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.