Nenda kwa yaliyomo

Ania Said Chaurembo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ania Said Chaurembo (amezaliwa tarehe 3 Aprili, 1954) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania.

Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ania Said Chaurembo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.