Ann Kihengu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ann Kihengu
Utaifa mtanzania
Elimu Business Administration
Cheo CEO
Tuzo 2010 Africa Laureate of the Cartier Women's Initiative Award

Ann Kihengu (alizaliwa 1983) ni mwanamke mjasiriamali aliyepewa tuzo kwa mpango wa maendeleo ya wanawake ya mwaka 2010 (Cartier Women's Initiative Awards) kwa kazi yake ya kupata mbadala wa matumizi ya taa za mafuta ya taa na kuweka taa zinazotumia nishati ya sola na chaja za simu zinazotumia mfumo wa sola nchini Tanzania kupitia mtandao wake wa wajasiriamali wadogowadogo.

Kihengu ni miongoni mwa mtandao wa wajasiriamali wa dunia uitwao Think Tank.[1][2][3]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Ann Kihengu", Cartier Women's Initiative Awards, 2011-05-24. 
  2. "A Ventures Woman lights it up in Tanzania - Ventures Africa", Ventures Africa, 2012-03-04. (en-US) 
  3. Cartier Women's Initiative Awards (2011-08-29), Past Laureate - News from Ann Kihengu, retrieved 2017-10-24 
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ann Kihengu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.