Jaka Mwambi
Mandhari
| Jaka Mwambi | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Kazi yake | Mwanasiasa na Mwanadiplomasia |
Jaka Mgwabi Mwambi (1950-2019) alikuwa mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Tanzania aliyepata kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa (1997-2003), Tanga (2003-2006) na Iringa (2006-2006)]] na makamu katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (2007-2008).[1] hadi pale nafasi yake ilipochukuliwa na aliyekuwa mbunge wa Newala, mnamo mwezi Novemba 2007.
Mwambi aliteuliwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Urusi tarehe 21 Julai 2008[2] akawasilisha hati za utambulisho wa ubalozi kwa rais wa Urusi Dmitry Medvedev tarehe 18 Septemba 2008 na kumaliza jukumu lake mwaka 2014.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Tanzania Praises Cuban Cooperation". Juventud Rebelde. 22 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-18. Iliwekwa mnamo 2021-05-25.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Deputy Minister of Foreign Affairs Alexander Saltanov Meets with Newly Appointed Tanzanian Ambassador to Moscow Jaka Mwambi (Press release). Ministry of Foreign Affairs (Russia). 24 July 2008. Archived from the original on 2011-06-14. https://web.archive.org/web/20110614165741/http://www.ln.mid.ru/brp_4.nsf/e78a48070f128a7b43256999005bcbb3/65e5565d01d899dac325749000577d41?OpenDocument.
- ↑ "Dmitry Medvedev accepted the letters of credentials of 12 foreign ambassadors". Kremlin, Moscow: Presidential Press and Information Office. 18 Septemba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-22. Iliwekwa mnamo 2021-05-25.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jaka Mwambi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |