Nenda kwa yaliyomo

Mkuu wa mkoa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mkuu wa Mkoa ni kiongozi mkuu wa serikali katika mkoa[1].

Jukumu la kiutawala la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha kwamba mifumo ya utawala katika wilaya zake inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi.

Kwa Tanzania kiongozi huyo huteuliwa na Rais. Ndiye mwakilishi wa Rais katika Mkoa.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]