Suleiman Omar Kumchaya
Mandhari
Suleiman Omar Kumchaya (amezaliwa tar. 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Lulindi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Wabunge wa Tanzania
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mengi kuhusu Suleiman Omar Kumchaya". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Suleiman Omar Kumchaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |