Magnus Mwalunyungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magnus Mwalunyungu (25 Agosti 1930 - 13 Februari 2015) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1992. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Tunduru-Masasi hadi 2005, alipostaafu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.