Makame Mbarawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makame Mbarawa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Aliteuliwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli kuwa mbunge na Waziri wa Kazi, usafirishaji na Mawasiliano kwa miaka 20152020. Aliwahi pia kuwa Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia miaka ya 2010-2015 [1][2][3][4][5]

Makame Mbarawa


Waziri wa Kazi, Usafirishaji na Mawasiliano
Aliingia ofisini 
2015
Rais John Magufuli
mtangulizi John Magufuli

Muda wa Utawala
12 December 2015 – 23 December 2015
Rais John Magufuli
mtangulizi Jumanne Maghembe
aliyemfuata Gerson Lwenge

Muda wa Utawala
Novemba 2010 – 5 Novemba 2015
Rais Jakaya Kikwete
Makamu January Makamba

Muda wa Utawala
Novemba 2010 – Julai 2015
Appointed by Jakaya Kikwete
Constituency None (Mbunge )

utaifa Tanzanian
chama CCM
mhitimu wa Astrakhan State Technical University (MSc)
University of New South Wales (PhD)
Fani yake Professor
dini Islam
Positions Profesa, Tshwane University of Technology (2009-2010)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.parliament.go.tz/administrations/525
  2. https://www.parliament.go.tz/administrations/204, Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017.
  3. https://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1764/2010-2015 Archived 12 Juni 2015 at the Wayback Machine. |title=Member of Parliament CV |date= |work= |publisher=Parliament of Tanzania |accessdate=20 February 2013 |archive-url=https://web.archive.org/web/20150612001225/
  4. https://parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1764/2010-2015 Archived 12 Juni 2015 at the Wayback Machine. |archive-date=12 June 2015}}
  5. Professor Mbarawa Biography (PDF). forum2012.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-11-13. Iliwekwa mnamo 20 February 2013.