Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia (kwa Kiingereza: Ministry of Science, Information and Technology; kifupi (COSTECH)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka 2008.[1]. Ilitanguliwa na Ministry of Higher Education, Science and Technology (MHEST), iliyoitwa Ministry of Science, Technology and Higher Education kabla ya mwaka 2005.[2]

Ofisi kuu ya wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam. Mwaka 2015 wizara hiyo ilifutwa na idara zake kugawiwa kati ya Wiraza ya Elimu na Idara ya Kazi.

Katika baraza ya mawaziri ya pili chini ya rais Magufuli wizara ilianzishwa upya mwaka 2020.

  1. "Our Roles, Ministry, Contact us". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-30. Iliwekwa mnamo 2020-04-04. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. Philemon Andrew K. Mushi (2009). History and Development of Education in Tanzania. African Books Collective. uk. 188. ISBN 978-9976-60-494-8. In 2005 the Ministry [of Science, Technology and Higher Education] was changed to the Ministry of Higher Education, Science and Technology and operated up to 2008, when it was again combined with the Ministry of Education and Vocational Training.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]