Wizara ya Sheria na Katiba
Wizara ya Sheria na Katiba (Kiingereza: Ministry of Justice and Constitutional Affairs) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |