Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (kwa Kiingereza: Ministry of Defence and National Service) ni wizara ya serikali ya Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hiyo ipo Dodoma.

    Tazama pia

    [hariri | hariri chanzo]
    Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.