Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko (kwa Kiingereza: Ministry of Industry, Trade and Marketing; kifupi (MITM)) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.

Ofisi kuu ya wizara hii ilikuwa jijini Dar es Salaam.

Serikali ya awamu ya tano, ikiongozwa na Rais John Pombe Joseph Magufuli, iliibadilishia jina wizara hii na kuwa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

Serikali ya Tanzania inatakiwa kuongeza viwanda ili watu wapate ajira kama mataifa mengine.

    Tazama pia

    [hariri | hariri chanzo]

    Viungo vya nje

    [hariri | hariri chanzo]
    Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.