Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Kiingereza: Ministry of Education and Vocational Training kifupi (MOE)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Nchi ya Tanzania haitumii sana mfumo wa shule za ufundi, kumbe zinahitajika ili kuwe na maendeleo kama mataifa mengine.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]