Wizara za Serikali ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Hii ni orodha ya Wizara za Serikali ya Tanzania wakati wa serikali ya awamu wa nne (hadi 2015). Baada ya uchaguzi mkuu rais mpya John Magufuli alipunguza idadi ya witzara kwa kuunganisha wizara kadhaa.

Soma: Baraza la mawaziri Tanzania.

Wizara Kiingereza Waziri Tovuti
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ministry of Health and Social Welfare moh.go.tz/
Wizara ya Ardhi Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Developments Capt. John Z. Chiligati ardhi.go.tz
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Ministry of Education and Vocational Training Hon. Prof. Jumanne A. Maghembe moe.go.tz
Wizara ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia Ministry of Higher Education, Science and Technology *
Wizara ya Fedha na Uchumi Ministry of Finance and Economic Affairs Mhe. Saada Mkuya mof.go.tz
Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo Ministry of Information, Culture and Sports hum.go.tz
Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Ministry of Labour, Employment and Youth Development *
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Ministry of Agriculture, Food and Cooperatives Mhe. Stephen Masato Wasira (Mb.) kilimo.go.tz
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Ministry of Community Development, Gender and Children mcdgc.go.tz
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ministry of Water and Irrigation Prof. Mark Mwandosya (MP) maji.go.tz
Wizara ya Maliasili na Utalii Ministry of Natural Resources and Tourism mnrt.go.tz
Wizara ya Mambo ya Ndani Ministry of Home Affairs Hon. Lawrence K. Masha (MP) moha.go.tz
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation Hon. Bernard Kamilius Membe (MP) mfaic.go.tz
Wizara ya Mawasailiano, Sayansi na Teknolojia Ministry of Communication, Science and Technology *
Wizara ya Mifugo na Uvuvi Ministry of Livestock Development and Fisheries *
Wizara ya Miundombinu Ministry of Infrastructure Development Hon. Dr. Shukuru Kawambwa infrastructure.go.tz
Wizara ya Nishati na Madini Ministry of Energy and Minerals Dk. William Ngeleja *
Wizara ya Sheria na Katiba Ministry of Justice and Constitutional Affairs [1]
Wizara ya Ulinzi na Usalama wa Taifa Ministry of Defence and National Service *
Wizara ya Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Ministry of East African Cooperation Hon.Dr. Diodorus B. Kamala (MP) meac.go.tz
Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko Ministry of Industry, Trade and Marketing Hon. Dr.Mary Nagu (MP) mitm.go.tz

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]