Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Tanzania (kwa Kiingereza: Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training) kifupi ni wizara ya serikali inayoshughulikia masuala ya uanzishaji na uboresheji wa elimu, elimu ya juu katika sayansi na teknolojia nchini Tanzania pamoja na mafunzo ya ufundi.

Ofisi kuu ya wizara hii ipo mjini Dodoma.[1]

  1. "Ministry, Contact us". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-21. Iliwekwa mnamo 2018-06-12.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.