Wizara ya Madini
Jump to navigation
Jump to search
Wizara ya Madini English: Ministry of Minerals | |
---|---|
Wizara ya Madini | |
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Samora Avenue,Dar es Salaam |
Waziri | Angellah Kairuki |
Naibu Waziri | Stanslaus Haroon Nyongo |
Tovuti | mem.go.tz |
Wizara ya Madini (kwa Kiingereza: Ministry of Minerals) ni wizara mpya ya serikali nchini Tanzania iliyopatikana tarehe 7 Oktoba 2017 baada ya Rais John Pombe Joseph Magufuli kuvunja wizara ya Nishati na Madini na kutengeneza wizara mbili: Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti Archived Januari 30, 2018 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |