Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Kiingereza: Ministry of Livestock and Fisheries
Mamlaka Tanzania
Makao Makuu Samora Avenue,Dar es Salaam
Waziri Luhaga Joelson Mpina
Naibu Waziri Abdallah Hamis Ulega
Tovuti mem.go.tz

Wizara ya Mifugo na Uvuvi (kwa Kiingereza: Ministry of Livestock and Fisheries) ni wizara mpya inayojitegemea ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya kuvunjwa kwa wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Ndivyo alivyoamua Rais John Pombe Joseph Magufuli tarehe 7 Oktoba 2017.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]