Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Kilimo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wizara ya Kilimo
English: Ministry of Agriculture
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue,Dar es Salaam
WaziriDkt. Charles John Tizeba
Naibu WaziriDkt. Mary Machuche Mwanjelwa
Tovutimem.go.tz

Wizara ya Kilimo (kwa Kiingereza: Ministry of Agriculture) ni wizara mpya inayojitegemea ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya kuvunjwa kwa wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na kutengeneza wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na uvuvi. Ndivyo alivyoamua Rais John Pombe Joseph Magufuli tarehe 7 Oktoba 2017.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]