Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
English: Ministry of Agriculture,Livestock and Fisheries
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue, Dar es Salaam
WaziriJosephat Hasunga.
Naibu WaziriWilliam Ole Nasha
Tovutimem.go.tz

Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (kwa Kiingereza: Ministry of Agriculture, Livestock and Fisheries; kifupi (Kilimo) ilikuwa wizara ya serikali nchini Tanzania.

Ofisi kuu za wizara hii zilikuwa jijini Dar es Salaam.

Tarehe 7 Oktoba 2017 Rais John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa awamu ya tano, aliivunja wizara hii na kuifanya kuwa wizara mbili tofauti: Wizara ya Kilimo na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na tarehe 9 Oktoba 2017 aliweza kuwaapisha rasmi mawaziri na naibu mawaziri wa wizara hizo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]