Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mandhari
| Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano English: Ministry of Construction, Transport and Communication | |
|---|---|
| Mamlaka | Tanzania |
| Makao Makuu | Samora Avenue,Dar es Salaam |
| Waziri | Prof. Makame Mbarawa Mnyaa |
| Naibu Waziri | Mhandisi Atashasta Justus Nditiye Elias John Kwandikwa |
| Tovuti | mem.go.tz |
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (kwa Kiingereza: Ministry of Construction, Transport and Communication) ni wizara ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania iliyopatikana baada ya Rais John Pombe Joseph Magufuli kuunganisha Wizara ya Ujenzi na wizara ya Uchukuzi na kisha kuiongezea idara ya Mawasiliano ambayo awali ilikuwa ndani ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti Ilihifadhiwa 30 Januari 2018 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |