Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka .
Baraza hili linaundwa na rais , makamu wa rais, rais wa Zanzibar , waziri mkuu na mawaziri wote wanaoongoza moja ya wizara za serikali . [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza lakini hana haki ya kupiga kura katika mikutano hiyo.
Mikutano ya baraza huongozwa na Rais kama mwenyekiti , kama Rais hayupo basi mikutano hiyo huongozwa na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo mikutano hiyo huongozwa na Waziri Mkuu .[2]
Serikali iliyopo ilitangazwa na John Pombe Magufuli , rais wa sita wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 mnamo tarehe 6 Desemba 2020 .
Baraza la mawaziri la Tanzania: tangu Desemba 2020[3]
Picha
Majukumu
Jina
Raisi
Dr. John Magufuli
Makamu wa Rais
Samia Suluhu
[[File:|75px]]
Rais wa Zanzibar
Hussein Ali Mwinyi
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa
Faili:Abdallah Ulega.jpg
Kilimo
Adolf Mkenda
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi TAMISEMI , Utumishi na Utawala Bora
Selemani Said Jafo
Madini
Doto Biteko
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Masuala ya Muungano, Mazingira
Ummy Ally Mwalimu
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Mifugo na Uvuvi
Mashimba Ndaki
Sheria na Katiba
Mwigulu Nchemba
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Elias Kwandikwa
Elimu
Joyce Lazaro Ndalichako
Teknolojia ya Habari na Mawisiliano
Faustine Ndugulile
Faili:Medard Kalemani.jpg
Nishati
Medard Matogolo Kalemani
Wizara ya Fedha na Mipango
Dr. Philip Mpango
Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Palamagamba Kabudi
Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dorothy Gwajima
Mambo ya Ndani
George Simbachawene
Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Godfrey Mwambe
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Innocent Bashungwa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi
Maliasili na Utalii
Damas Ndumbaro
Maji na Umwagiliaji
Juma Aweso
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Leonard Chamuriho
(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania
Dr. Adelardus Kilangi
↑ Cabinet of Tanzania . tanzania.go.tz (May 2012). Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-04-18. Iliwekwa mnamo May 2012.
↑ Katiba ya Tanzania, fungu 54 . Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-12-17. Iliwekwa mnamo 2020-12-06.
↑ Baraza la mawaziri la Magufuli hili hapa , gazeti la Mwananchi tar 05.12.2020