Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
English: Ministry of Industry,business and Investments
MamlakaTanzania
Makao MakuuSamora Avenue, Dar es Salaam
WaziriCharles Paul Mwijage
Naibu WaziriMhandisi Stella Martin Manyanya
Tovutimem.go.tz

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (kwa Kiingereza: Ministry of Industry, Trade and Investment) ni wizara mojawapo ya serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania.

Rais John Pombe Joseph Magufuli ndiyo iliyoanzisha wizara hii, ambayo hapo awali iliitwa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko.

Ofisi kuu ya wizara hii ipo jijini Dar es Salaam.

Serikali ya Tanzania inatakiwa kuongeza viwanda ili watu wapate ajira kama mataifa mengine.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]