Alfred Leonhard Maluma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfred Leonhard Maluma (12 Desemba 1955 - 6 Aprili 2021) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2002. Tangu mwaka huo, alikuwa askofu wa Jimbo la Njombe hadi kifo chake kilichotokana na ajali ya gari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.