Vincent Kigosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Vincent Kigosi
Amezaliwa Vincent Kigosi
16 Juni 1980 (1980-06-16) (umri 39)[1]
Majina mengine Ray The Greatest
Kazi yake
Ndoa Chuchu Hans
Watoto Jaden The Greatest

Vincent Kigosi (maarufu kamaRay) (amezaliwa 16 Mei 1980 ) ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaju mkubwa wa filamu kutoka nchini Tanzania.[2] Makao makuu yake ni Dar-es-Salaam.[3]

Kigosi vilevile anajiita Mr. Nollywood,[4] japokuwa ametengeneza filamu nyingi za Bongo Films.

Kigosi anafahamika zaidi kwa jina la Ray, alianza kazi ya uigizaji mwaka 2000 kupitia vipindi vya televisheni na soap opera halafu baadaye akaanza kucheza katika filamu mbalimbali. Ana kampuni yake mwenyewe ya filamu akiwa na mwigizaji mwenzake Blandina chagula (Johari) maarufu kama RJ Company.

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Vincent Kigosi- English biography. bongocinema.com. Iliwekwa mnamo 20 February 2016.
  2. http://www.bongocinema.com/index.php/casts/view/vincent-kigosi
  3. http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=29300
  4. Mahir Saul, Ralph A. Austen. Viewing African Cinema in the Twenty-First Century: Art Films and the ..., 84. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]