Chuchu Hans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuchu Hans
Jina la kuzaliwa Chuchu Hans
Kazi yake Muigizaji
Watoto 2
Mahusiano Vincent Kigosi(Ray)

Chuchu Hans ni mwigizaji wa filamu wa Tanzania.

Asili yake ni Tanga. Chuchu alisoma hadi kidato cha sita na kisha akasoma kozi mbalimbali ikiwemo hotel management. Ana kaka yake aitwaye Daniel, maarufu kama TB Joshua Junior, anayeishi Marekani.[1].

Mahusiano[hariri | hariri chanzo]

Ana mahusiano na mwigizaji wa filamu aitwaye "Vicent Kigosi" ambaye anafahamika kama Ray; wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume anayefahamika kwa jina la Jaden. Pia alikwishawahi kuzaa mtoto mwingine na mume wake wa zamani[2].

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Hizi ni baadhi ya filamu ambazo ameshawahi kuigiza:[3]

Mwaka Filamu Uhusika
Masaibu ya Boda Boda
Lolita
The Return of the Kidnapper
Tabia
Tikisa
Safari
Mogana
Dangerous Deal
Mimba
Lose Control
Hit Back
The Long Story
The Glory of Ramadhan
Chaguo Langu
Sangoma
American Visa
20 Million
Inplant from Hell
Candle in the Wind
Pete ya Ajabu
Hania
The Wrong Site
April Fools
Round
Roho Sita Revelation
Roho Sita
Super Model

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-08-03. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-12-04. Iliwekwa mnamo 2018-12-01.
  3. http://www.bongocinema.com/casts/view/chuchu-hans
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuchu Hans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.