Jacob Stephen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jacob Stephen[1] anayejulikana kwa jina lake la kisanii kama JB pia Bonge la bwana ni msanii wa maigizo, mtayarishaji wa filamu na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anajulikana sana kwa uhusika wake katika filamu ya Dj Ben[2]akishirikiana na Wema Sepetu pamoja na Irene Uwoya[3].

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Hizi ni baadhi ya filamu ambazo muigizaji Jacob Steohen ameshiriki[4]

Mwaka Filamu Uhusika
2011 Dj Ben Dj Ben
2014 Hukumu ya Ndoa Yangu Mtayarishaji
Lost Adam
Off Side
2010 Fair Decision
Senior bachelor
Peace of Mind

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. JB atoa ya moyoni kueleza anavyompenda mke wake – Bongo5.com. bongo5.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-17.
  2. JB: Richie alinishawishi kuigiza | East Africa Television (en). eatv.tv (2014-04-28). Iliwekwa mnamo 2022-10-17.
  3. Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa Kupata Mtoto Mpaka Sasa, Sijawahi Kuwa na Mchepuko..!!! (en-gb). UDAKU SPECIAL. Iliwekwa mnamo 2022-10-17.
  4. Jacob Stephen Archived 16 Juni 2013 at the Wayback Machine. katika '''Bongo Cinema'''
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacob Stephen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.