Nenda kwa yaliyomo

Dj Ben

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dj Ben

Posta ya Dj Ben
Imeongozwa na Jacob Stephen
Imetayarishwa na Jerusalem Film
Imetungwa na Jacob Stephen
Nyota Wema Sepetu
Jacob Stephen
Irene Uwoya
Imesambazwa na Steps Entertainment Ltd
Imetolewa tar. 2011
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

"DJ Ben" ni jina la filamu iliyotoka 2011 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Wema Sepetu, Irene Uwoya na Jacob Stephen (JB) aliyecheza kama DJ Ben. Filamu imeongozwa na JB na kutayarishwa na Jerusalem Film na Steps Entertainment.

Hadithi[hariri | hariri chanzo]

Filamu inaelezea usaliti kuhusu DJ Ben ambaye alikuwa mtu wa kusafiri sana kuelekea mahali alipofungua kumbi za disko. Katika mihangaiko yake anakutana na msichana mrembo anayefanya kazi hotelini aliyeitwa Samiha (Irene Uwoya) na kujenga uhusiano. Uhusiano huu uliyekaribia kuachanisha ndoa ya Ben na mkewe (Wema Sepetu) lakini mwishowe Samiha anamtaka radhi Wema na Ben anaamua kutulia na mkewe.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Dj Ben Archived 16 Septemba 2018 at the Wayback Machine. katika Bongo Cinema.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dj Ben kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.