Hukumu ya Ndoa Yangu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hukumu ya Ndoa Yangu

Posta ya Hukumu ya Ndoa Yangu
Imeongozwa na Adam Kuambiana
Imetayarishwa na Jerusalem Film Co.
Imetungwa na Aisha
Nyota Fatuma Makongoro
Jacob Stephen
Shamsa Ford
Muziki na Hussein Njenje
Imesambazwa na Steps Entertainment
Imetolewa tar. 11 Agosti, 2014
Ina muda wa dk. Dk. 70
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

'Hukumu ya Ndoa Yangu ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2014 kutoka nchini Tanzania. Ndani yake anakuja Fatuma Makongoro (Bi. Mwenda), Jacob Stephen (JB) na Shamsa Ford. Filamu imeongozwa na Adam Kuambiana na kutayarishwa na Jerusalem Film Co. inayomilikiwa na JB. Chini ya usambazaji wa Steps Entertainment ya Dar es Salaam. Filamu inahusu wanandoa wanaopitia magumu ya familia upande wa kiumeni kuoneshana kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao. Shamsa kaonesha uvumilivu wa hali katika kutetea ndoa yake. Filamu ina sehemu ya kwanza na ya pili kama jinsi ilivyo filamu nyingi za Tanzania. [1]


Washiriki[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hukumu ya Ndoa Yangu kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.