Shamsa Ford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shamsa Ford (amezaliwa tarehe 31 Julai) ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Amepata umaarufu kutokana na kuigiza filamu kama Zawadi ya birthday, Chausiku na nyingine nyingi. Ni mwanzilishi wa Elimu Kwanza, pia ni mfanyabiashara mtendaji mkuu wa madera pambe. [1]

Familia[hariri | hariri chanzo]

Shamsa alifunga ndoa na mfanyabiashara mkubwa Rashid Said, maarufu kama Chidi Mapenzi, na ana mtoto mmoja wa kiume aitwae Terry.[2]

Filmografia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shamsa Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.