Mahsein Awadhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mahsein Awadh)
Mahsein Awadhi

Mahsein Awadh akiwa katika kazi yake ya ushereheshaji (MC).
Amezaliwa 20 Julai
Tanzania
Kazi yake mtunzi, mwongozaji, na mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Tanzania

Mahsein Awadhi Said (alizaliwa 20 Julai, ?) ni mtunzi, mwongozaji, na mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Tanzania. Amepata umaarufu chini ya jina la Dk. Cheni kupitia igizo mbalimbali chini ya Kaole Sanaa Group. Mbali na sanaa, Mahsein pia ni mshereheshaji katika sherehe mbalimbali. Kuna wakati alisimama kabisa kuigiza na kuendelea kufanya kazi ya u-MC.[1]

Baadhi ya filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Hii ni sehemu ya filamu alizocheza.[2]

  • Hukumu Yangu
  • Majanga
  • Flashback
  • Docta wa Kifimbo
  • Dhuluma
  • Jesica
  • Umetuumiza
  • My Life
  • Nipende Monalisa
  • Pooja
  • My Flower
  • Kiapo
  • Mafisadi wa Mapenzi
  • Toughlife
  • 14 Days
  • My Dreams
  • Danger Zone
  • My Baby
  • Orphan
  • Taste of Love
  • The Stolen Will
  • The Cold Wind
  • A Point of No Return
  • Penina

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "DK CHENI AKIRI KUIPA KISOGO SANAA". Global Publishers. 2019-05-23. Iliwekwa mnamo 2021-07-31. 
  2. "Mahsein Awadh | Actor, Director, Producer, — Bongo Movies - Buy Tanzania Movies and DVD's Online". www.bongocinema.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-31. Iliwekwa mnamo 2021-07-31. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahsein Awadhi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.