Mahsein Awadhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Muhsein Awadh ni mtunzi, muongozaji, na mwigizaji wa tamthilia na filamu nchini Tanzania. Amepata umaarufu chini ya jina la Dk. Cheni. Anatoka kundi la Kaole Sanaa Group.

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahsein Awadhi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.