A Point of No Return

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
A Point of No Return

Posta ya A Point of No Return
Imeongozwa na Mtitu Game
Imetayarishwa na Game 1st Quality Tanzania Limited
Imetungwa na Mtitu Game
Nyota Steven Kanumba
Wema Sepetu
Mahsein Awadh
Asha Jumbe
Leyla Ismael
Charles Magari
Anne Constantine
Sinematografi Zakayo Magulu
Imesambazwa na Game 1st Quality
Imetolewa tar. 2008
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

"A Point of No Return" ni jina la filamu iliyotoka 2008 kutoka nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Steven Kanumba , Wema Sepetu , Mahsein Awadh , Asha Jumbe , Leyla Ismael , Charles Magari , Anne Constantine (Waridi). Filamu imeongozwa na Mtitu Game na kutayarishwa na Mtitu akiwa na Steven Kanumba. Huku hadithi ikiwa utunzi wa Mtitu Game. Filamu inaelezea usaliti na mateso yanatokea ndani ya ndoa. Hii ni filamu ya kwanza kuchezwa na Miss Tanzania wa zamani Bi. Wema Sepetu. [1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. A Point of No Return Archived 16 Septemba 2018 at the Wayback Machine. katika Bongo Cinema.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu A Point of No Return kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.