Irene Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Irene Paul ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania ambaye anawakilisha vizuri sanaa ya uigizaji Tanzania kwani ameshiriki katika sinema kadhaa za kimataifa.

Pamoja na uigizaji, ni mjasiriamali ambaye anapromoti kazi zake au brand yake inayojighulisha na uuzaji wa dawa za nywele asilia.

Pia ni mke wa mstaafu wa TANESCO na wamefanikiwa kupata mtoto mmoja wa kike aitwaye Wendo-Isabel, Irene ni mwanamke anayependa kuweka mambo yake private sana, ndiyo maana hayupo kwenye skendo wala sehemu za starehe zisizomuingizia pesa.

Sinema alizoshiriki[hariri | hariri chanzo]

 • 1. Mama Ntilie
 • 2. Kichupa
 • 3. Nipe nikupe
 • 4. Majuto
 • 5. Fiona
 • 6. Chinga Codineta
 • 7. Love & Power
 • 8. Kibajaji
 • 9. Kalunde
 • 10. Fikra Zangu
 • 11. Penzi la Giza
 • 12. Triple L
 • 12. I Hate My Birthday
 • 13. Handsome wa Kijiji
 • 14. The Shell
 • 15. Unpredictable
 • 16. Kiumeni[1]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Muigizaji bora wa kike 2015 (Tanzania Films Awards).[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Irene Paul kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.