Emmanuel Makaidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Emmanuel Makaidi (Aprili 10, 1941 - Oktoba 15, 2015) alikuwa mwanasiasa wa chama cha upinzani nchini Tanzania na mwenyekiti wa chama cha National League for Democracy (NLD).

Tarehe 14 Desemba 2005 aligombea urais kwa tiketi ya NLD na kuambulia asilimia 0.19 ya kura.

Alifariki dunia mkoani Lindi mwaka 2015 kwa ugonjwa wa kiharusi.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zambia: 13 Presidents to Attend Kikwete's Swearing-in", AllAfrica.com, 21 December 2005. Retrieved on 25 November 2009. 
  2. Mwenyekiti wa NLD, Dk Emmanuel Makaidi amefariki. Iliwekwa mnamo 2015-10-15.
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Makaidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.